\v=48 \v~=Hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, dada yako Sodoma pamoja na binti zake, kamwe hawakufanya yale ambayo wewe na binti zako mmefanya. \¬v \¬p