\p \v=59 \v~=“ ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nitakushughulikia kama unavyostahili, kwa kuwa umedharau kiapo changu kwa kuvunja Agano. \¬v