\p \v=8 \v~=“ ‘Baadaye nikapita karibu nawe, nilipokutazama na kukuona kuwa umefikia umri wa kupendwa, nililitandaza vazi langu juu yako na kuufunika uchi wako. Nikakuapia na kuingia kwenye Agano na wewe, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, nawe ukawa wangu. \¬v \¬p