\p \v=16 \v~=“ ‘Hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, atafia huko Babeli, katika nchi ya mfalme aliyemketisha katika kiti cha enzi, ambaye alidharau kiapo chake na kuvunja mapatano yake. \¬v