\p \v=19 \v~=“ ‘Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Hakika kama niishivyo, nitaleta juu ya kichwa chake kiapo changu, alichokidharau na Agano langu lile alilolivunja. \¬v