\v=21 \v~=Askari wake wote wanaotoroka wataanguka kwa upanga, nao watakaonusurika watatawanyika katika pande zote za dunia. Ndipo utakapojua kuwa Mimi \nd Bwana\nd* nimesema. \¬v \¬p