\v=24 \v~=Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi \nd Bwana\nd* ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. \¬p \p \p~<