\v=23 \v~=Je, mimi ninafurahia kifo cha mtu mwovu? Asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. Je, si mimi ninafurahi wanapogeuka kutoka njia zao mbaya na kuishi? \¬v \¬p