\v=32 \v~=Kwa maana sifurahii kifo cha mtu awaye yote afaye katika uovu, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. Tubuni basi, mkaishi! \¬v \¬p \¬c