\v=24 \v~=Viumbe wale waliposogea nilisikia sauti ya mabawa yao, kama ngurumo ya maji yaendayo kasi, kama sauti ya Mwenyezi,\f + \fr 1:24 \ft Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.\f* kama makelele ya jeshi. Waliposimama kimya walishusha mabawa yao. \¬v \¬p