\v=3 \v~=neno la \nd Bwana\nd* lilimjia Ezekieli kuhani, mwana wa Buzi, kando ya Mto Kebari, katika nchi ya Wakaldayo. Huko mkono wa \nd Bwana\nd* ulikuwa juu yake. \¬v \¬p