\v=29 \v~=Ndipo nikawaambia: Ni nini maana yake hapa mahali pa juu pa kuabudia miungu mnapopaendea?’ ” (Basi jina la mahali pale panaitwa Bama\f + \fr 20:29 \ft Bama maana yake ni mahali pa juu pa kuabudia miungu.\f* hata hivi leo.) \¬v \¬p