\v=3 \v~=“Mwanadamu, sema na wazee wa Israeli uwaambie, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa nini mmekuja? Je, ni kutaka ushauri kwangu? Hakika kama niishivyo, sitawaruhusu mtake ushauri toka kwangu, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ \¬v \¬p