\v=31 \v~=Mnapotoa matoleo yenu, yaani, wana wenu kafara katika moto, mnaendelea kujinajisi na sanamu zenu zote hadi siku hii ya leo. Je, niulizwe neno na ninyi, ee nyumba ya Israeli? Hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, mimi sitaulizwa neno na ninyi. \¬v \¬p