\v=33 \v~=Hakika kama niishivyo asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, nitatawala juu yenu kwa mkono wa nguvu na kwa mkono ulionyooshwa na kwa ghadhabu iliyomwagwa. \¬v