\p \v=39 \v~=“ ‘Kwa habari zenu ninyi, ee nyumba ya Israeli, hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nendeni mkatumikie sanamu zenu, kila mmoja wenu! Lakini baadaye hakika mtanisikiliza mimi nanyi hamtalinajisi tena Jina langu takatifu, kwa matoleo yenu na sanamu zenu. \¬v