\v=40 \v~=Kwa kuwa katika mlima wangu mtakatifu, mlima mrefu wa Israeli, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, hapo katika nchi nyumba yote ya Israeli itanitumikia mimi, nami huko nitawakubali. Huko nitataka sadaka zenu na matoleo ya malimbuko yenu, pamoja na dhabihu zenu takatifu zote. \¬v