\v=42 \v~=Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, nitakapowaleta katika nchi ya Israeli, nchi niliyokuwa nimeapa kwa mkono ulioinuliwa kuwapa baba zenu. \¬v