\v=44 \v~=Nanyi mtajua kuwa mimi ndimi \nd Bwana\nd*, nitakaposhughulika nanyi kwa ajili ya Jina langu na wala si sawasawa na njia zenu mbaya na matendo yenu maovu, ee nyumba ya Israeli, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ ” \¬v \¬p