\v=47 \v~=Waambie watu wa Negebu: ‘Sikieni neno la \nd Bwana\nd*. Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia moto, nao utateketeza miti yako yote, mibichi na iliyokauka. Miali ya moto haitaweza kuzimwa na kila uso kutoka kusini mpaka kaskazini utakaushwa kwa moto huo. \¬v