\v=5 \v~=na uwaambie: ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Siku ile nilipochagua Israeli, niliwaapia wazao wa nyumba ya Yakobo kwa mkono ulioinuliwa nami nikajidhihirisha kwao huko Misri. Kwa mkono ulioinuliwa niliwaambia, “Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, Mungu wenu.” \¬v