\v=7 \v~=Nami nikawaambia, “Kila mmoja wenu aondolee mbali sanamu za chukizo ambazo mmekazia macho, nanyi msijitie unajisi kwa sanamu za Misri. Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, Mungu wenu.” \¬v \¬p