\p \v=13 \v~=“ ‘Kwa maana upanga huu umejaribiwa na kuhakikishwa, itakuwaje basi fimbo ya ufalme ya Yuda inayoudharau kama haitakuwepo tena, bali itakuwa imeondolewa kabisa? asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ \¬v \¬p