\v=3 \v~=uiambie: ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu. \¬v