\v=15 \v~=wakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.\f + \fr 23:15 \fq Ukaldayo \ft yaani \fqa Babeli\ft .\f* \¬v