\p \v=22 \v~=“Kwa hiyo, Oholiba, hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nitawachochea wapenzi wako wawe kinyume na wewe, wale uliowaacha kwa kuchukia, nitawaleta dhidi yako kutoka kila upande: \¬v