\p \v=28 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia mikononi mwa wale unaowachukia, kwa wale uliojitenga nao kwa kuwachukia. \¬v