\p \v=35 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa kuwa tangu uliponisahau mimi na kunitupa nyuma yako, lazima ubebe matokeo ya uasherati wako na ukahaba wako.” \¬v \¬p