\p \v=14 \v~=“ ‘Mimi \nd Bwana\nd* nimesema, wakati umewadia wa mimi kutenda. Mimi sitazuia, mimi sitaona huruma wala sitapunguza hasira yangu, Utahukumiwa sawasawa na mwenendo na matendo yako, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ ” \¬v \¬p