\v=24 \v~=Ezekieli atakuwa ishara kwenu, mtafanya kama yeye alivyofanya. Wakati jambo hili litakapotokea, mtajua kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ \¬v \¬p