\v=14 \v~=Nitalipiza Edomu kisasi kwa mkono wa watu wangu Israeli, nao watawatendea Edomu sawasawa na hasira yangu na ghadhabu yangu, nao watakijua kisasi changu, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ ” \¬v \¬p