\v=16 \v~=kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Mimi ninakaribia kuunyoosha mkono wangu dhidi ya Wafilisti, nami nitawakatilia mbali Wakerethi na kuwaangamiza wale waliosalia katika pwani. \¬v