\v=3 \v~=Waambie, ‘Sikieni neno la \nd Bwana\nd* Mwenyezi. Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ulisema, “Aha!” juu ya mahali pangu patakatifu palipotiwa unajisi, na juu ya nchi ya Israeli ilipoangamizwa, na juu ya watu wa Yuda walipokwenda uhamishoni, \¬v