\v=6 \v~=Kwa kuwa hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa kuwa umepiga makofi yako na kufanya kishindo kwa miguu, mkifurahia kwa mioyo yenu miovu juu ya yale mabaya yaliyoipata nchi ya Israeli, \¬v