\v=14 \v~=Nitakufanya mwamba mtupu, nawe utakuwa mahali pa kutandazia nyavu za kuvulia samaki. Kamwe hutajengwa tena, kwa maana Mimi \nd Bwana\nd* nimenena, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v \¬p