\v=3 \v~=Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Mimi niko kinyume na wewe, ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi dhidi yako, kama bahari inayovurumisha mawimbi yake. \¬v