\p \v=15 \v~=“ ‘Watu wa Dedani\f + \fr 27:15 \ft Yaani \fqa Rhodes\ft .\f* walifanya biashara nawe, watu wengi wa nchi za pwani walikuwa wachuuzi wako, walikulipa kwa pembe za ndovu na mpingo. \¬v \¬p