\p \v=16 \v~=“ ‘Watu wa Aramu walifanya biashara nawe kwa ajili ya wingi wa kazi za mikono yako, wakibadilishana kwa almasi, vitambaa vya rangi ya zambarau, vitambaa vilivyotariziwa, kitani safi, matumbawe\f + \fr 27:16 \ft Yaani marijani, jiwe laini la pwani au baharini, kama mawe ya chokaa.\f* na akiki nyekundu. \¬v \¬p