\p \v=24 \v~=“ ‘Nyumba ya Israeli hawatakuwa tena na majirani wenye nia ya kuwadhuru wanaoumiza kama michongoma na miiba mikali. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v \¬p