\v=26 \v~=Wataishi humo kwa salama na watajenga nyumba na kupanda mashamba ya mizabibu, wataishi kwa salama nitakapowaadhibu majirani zao wote ambao waliwafanyia uovu. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, Mungu wao.’ ” \¬v \¬p \¬c