\p \v=13 \v~=“ ‘Lakini hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Mwishoni mwa hiyo miaka arobaini, nitawakusanya Wamisri kutoka mataifa walikotawanywa. \¬v