\v=14 \v~=Nitawarudisha hao Wamisri kutoka kwenye kutekwa kwao na kuwaweka katika Pathrosi,\f + \fr 29:14 \ft Pathrosi ni Misri ya Juu.\f* nchi ya baba zao. Huko watakuwa na ufalme usiokuwa na nguvu. \¬v