\p \v=8 \v~=“ ‘Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao. \¬v