\m \v=5 \v~=Kushi\f + \fr 30:5 \ft Kushi ndiyo Ethiopia.\f* na Putu, Ludi na Arabia yote, Libya\f + \fr 30:5 \ft Libya ndiyo Kubu.\f* na watu wa nchi ya Agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri. \¬v \¬m