\p \v=31 \v~=“Farao, yeye pamoja na jeshi lake lote, atakapowaona atafarijiwa kwa ajili ya makundi yake yote ya wajeuri, wale waliouawa kwa upanga, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v