\v=11 \v~=Waambie, ‘Hakika kama mimi niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, sifurahii kifo cha watu waovu, bali kwamba wageuke kutoka njia zao mbaya wapate kuishi. Geukeni! Geukeni kutoka njia zenu mbaya! Kwa nini mkafe, ee nyumba ya Israeli?’ \¬v \¬p