\v=22 \v~=Basi jioni kabla mtu huyo hajaja, mkono wa \nd Bwana\nd*, ulikuwa juu yangu, naye alifungua kinywa changu kabla ya mtu yule aliyenijia asubuhi hajafika. Basi kinywa changu kilifunguliwa na sikuweza tena kunyamaza. \¬v \¬p