\v=25 \v~=Kwa hiyo waambie, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa kuwa mnakula nyama pamoja na damu na kuinulia sanamu zenu macho na kumwaga damu, je, mtaimiliki nchi? \¬v