\p \v=17 \v~=“ ‘Kwa habari yenu, enyi kundi langu, hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo, kati ya kondoo dume na mbuzi. \¬v