\p \v=20 \v~=“ ‘Kwa hiyo, hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi awaambialo: Tazama, mimi mwenyewe nitahukumu kati ya kondoo wanono na waliokonda. \¬v